DAVIDO AWASILI DAR NA ULINZI MKALI TAZAMA PICHA NA VIDEO HII

IMG_9470
Muimbaji wa Skelewu, Mnaigeria Davido ametua jijini Dar es Salaam akiwa na ulinzi mkali wa mabaunsa takriban wanne walioshiba. Akiwa na kofia, miwani nyeusi na kibegi mgongoni kama mtoto wa shule, Davido alitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere saa tano usiku.


Davido akihojiwa na Clouds TV
Hitmaker huyo ni mmoja wa wasanii wa kimataifa watakaotumbuiza Jumamosi hii kwenye Serengeti Fiesta ya Dar es Salaam itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club.
IMG_9462

Davido akiwasili JANA


IMG_9463

Davido na kibegi chake mgongoni

IMG_9467
IMG_9468

IMG_9471
IMG_9478
thumbnail
A Propos de l'auteur

Nadav Junior(Profil Facebook) CEO et Fondateur du Club Nadav International. Developpeur de site web. Pour plus d'information sur mon profil contacter moi au +257 75 578 130 au nadav.junior9@gmail.com.

0 commentaires